🇹🇿 Tanzania's Digital Invite Platform

Waalike

Kidigitali

Nauli siyo tatizo tena! Mialiko inafikishwa moja kwa moja mtandaoni — rahisi, bila stress, kwa WhatsApp na SMS.

SwiftInvite – Waalike Kidigitali
200+ Wageni kwa Tukio
Guest scanning QR at event entry
100%Mialiko
Inafika
Kwa Nini SwiftInvite?

Suluhisho lililoundwa kwa Tanzania

Teknolojia ya kisasa iliyoundwa mahususi kwa mahitaji ya mashereheko ya Kitanzania.

  • Hakuna nauli — Hakuna msongo

    Mialiko inafika mtandaoni. Hakuna gharama ya posta wala usumbufu wa kuigawa mkono kwa mkono.

  • Inafanya kazi offline pia

    SMS zinafika hata bila internet — hakuna mgeni atakayekosa mwaliko wako.

  • QR Check-in — Hakuna foleni

    Wageni wanascanwa ukumbini kwa sekunde moja. Haraka, salama, bila msongo wa mlangoni.

  • Usimamizi wa wakati halisi

    Jua ni nani amekubali, amekataa, au hajajibu — moja kwa moja kutoka kwa simu yako.

Jinsi Inavyofanya Kazi

Rahisi kama 1 – 2 – 3 – 4

1

Tengeneza Kadi

Tunatengeneza kadi yako ya mwaliko kulingana na rangi na mandhari yako.

2

Tuma WhatsApp & SMS

Mialiko inatumwa moja kwa moja kwa wageni wote — haraka, bila nauli.

3

Simamia RSVP

Fuatilia majibu ya wageni kwa wakati halisi — ndio, hapana, au hajajibu.

4

Scan & Ripoti

Scan kadi ukumbini, kisha pata report kamili baada ya tukio.

Maelezo kuhusu Huduma Zetu

Chagua Package Inayokufaa

Tunafanya kadi za kuchapishwa kwa ombi maalum. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Standard
Standard
  • Tunatengeneza kadi nzuri ya mialiko kulingana na chaguo la mteja.
  • Tunatuma kadi kwa wageni wote kupitia WhatsApp na SMS.
  • Tunapiga simu kuthibitisha mahudhurio ya wageni.
  • Tunasimamia majibu ya mahudhurio / RSVP (ndio / hapana).
  • Tunascan kadi ukumbini.
  • Tunatuma report ya sherehe nzima (waliohudhuria / wasiohudhuria, kadi single / double / group, n.k).
  • Tunatuma kadi za shukrani kwa kushiriki kwa wageni wote.

Kila kadi inatengenezwa kulingana na rangi, mandhari, na ladha yako binafsi.

Chagua Standard →
Premium ✨
Premium
  • Tunatengeneza kadi ya kiwango cha juu kulingana na chaguo la mteja (Premium Design).
  • Tunatuma kadi kwa wageni wote kupitia WhatsApp, SMS na Email.
  • Tunatuma msg za kukumbusha michango kwa wageni.
  • Tunapiga simu kuthibitisha mahudhurio ya wageni.
  • Tunasimamia majibu ya mahudhurio / RSVP (ndio / hapana).
  • Tunatuma message za kukumbusha siku ya tukio kwa wageni wote.
  • Tunascan kadi ukumbini.
  • Tunatuma report ya sherehe nzima (waliohudhuria / wasiohudhuria, kadi single / double / group, n.k).
  • Tunatuma kadi za shukrani kwa kushiriki kwa wageni wote.
  • Tunaandaa invoice za gharama zetu (for office use).

NB: Kila kadi inatengenezwa kulingana na rangi, mandhari, na ladha yako binafsi. Tunafanya kadi za kuchapishwa kwa ombi maalum.

Chagua Premium →
Wasiliana Nasi

Tayari kuanza?

Piga simu au tuma ujumbe WhatsApp sasa hivi. Tutakusaidia kupanga mwaliko wa tukio lako la karibu — haraka na bila stress.